Marafiki na Washirika


CODE

www.CODE.ngo
CODE ni shirika lisilo la faida la kusoma na kuandika la Canada linalosaidia kutoa vitabu vya watoto katika lugha za kienyeji na kufundisha waalimu barani Afrika.

Global Book Alliance

www.globalbookalliance.org
GBA inatoa bure vifaa vya kujisomea vya watoto katika lugha 70 kupitia “Maktaba ya Dijiti Duniani” https://digitallibrary.io/

International Board of Books for Young People

www.IBBY.org
IBBY ni muungano wa wachapishaji wa vitabu vya watoto kote ulimwenguni.

International Literacy Association

www.Reading.org
ILA inasaidia kutoa mafunzo ya kusoma na kuandika ulimwenguni.

Society of Book Writers and Illustrators

www.SCBWI.org
SCBWI inawaleta pamoja waandishi, wachoraji na wachapishaji wa vitabu vya watoto kutoka Marekani ya Kaskazini na Ulaya.

Wanachama katika

ARGENTINA • ARMENIA • BULGARIA • BURMA • CANADA • GEORGIA • KAZAKHSTAN • KOSOVO • KYRGYZSTAN • LATVIA • LITHUANIA • MOLDOVA • ROMANIA •  Sierra Leone  • SLOVAKIA • TAJIKISTAN • TANZANIA • THAILAND • UNITED KINGDOM • UNITED STATES • Uzbekistan

RWCT (KKKK) ni mtandao wa kimataifa wa Watoa mafunzo na watayarishaji wa vifaa vya.  Kujifunzia kusoma na kuandika kwa Kufikiri kwa kina

Grant inafadhiliwa na RWCT Consortium ya Kimataifa. Yaliyomo ni hakimiliki © 2023 RWCT
Huduma zote za Wavuti hutolewa na Butler Consulting Technology, LLC