Huduma ambazo Wanachama Wetu Wanatoa


Wakufunzi wa RWCT

 • wanaweza kutoa mafunzo kwa walimu kuhusu
  • Stadi msingi za mwanzo na za ngazi ya juu za kusoma na kuandika
  • Kujifunza kikamilifu katika ngazi zote
  • Kufikiri kwa kina
  • Elimu ya lugha ya pili
  • Stadi za kusoma na kuandika kwa watu wazima
 • Upangaji wa miradi na usimamizi;
 • Programu na tathmini ya mwanafunzi;

Wanachama katika

ARGENTINA • ARMENIA • BULGARIA • BURMA • CANADA • GEORGIA • KAZAKHSTAN • KOSOVO • KYRGYZSTAN • LATVIA • LITHUANIA • MOLDOVA • ROMANIA •  Sierra Leone  • SLOVAKIA • TAJIKISTAN • TANZANIA • THAILAND • UNITED KINGDOM • UNITED STATES • Uzbekistan

RWCT (KKKK) ni mtandao wa kimataifa wa Watoa mafunzo na watayarishaji wa vifaa vya.  Kujifunzia kusoma na kuandika kwa Kufikiri kwa kina

Grant inafadhiliwa na RWCT Consortium ya Kimataifa. Yaliyomo ni hakimiliki © 2023 RWCT
Huduma zote za Wavuti hutolewa na Butler Consulting Technology, LLC