Huduma za RWCT

HUDUMA AMBAZO WANACHAMA WETU WANATOA

Wakufunzi wa RWCT

 • wanaweza kutoa mafunzo kwa walimu kuhusu
  • Stadi msingi za mwanzo na za ngazi ya juu za kusoma na kuandika
  • Kujifunza kikamilifu katika ngazi zote
  • Kufikiri kwa kina
  • Elimu ya lugha ya pili
  • Stadi za kusoma na kuandika kwa watu wazima
 • Upangaji wa miradi na usimamizi;
 • Programu na tathmini ya mwanafunzi;